Jina la Kanisa: New Vine Church,Tawi la Kisesa Mahali. : Mji wa Kisesa,Mwanza - Tanzania. Barabara ya kuelekea usagara, kwenye kituo Cha Craster Open School,Ghorofani Mawasiliano : 0755035722 au 0785645177 Instagram. : New Vine Church Kisesa Facebook. : New Vine Church Kisesa Maono. : Kuinua kizazi Cha Ki'Mungu kitacholeta mguso chanya Kila eneo la maisha Andiko. : Mathayo 5:13-14 na Yoeli 2:2-11 Makao makuu: Glorland,Buhongwa-Mwanza , Tanzania Askofu na Msimamizi Mkuu: Pastor Good luck Kyara Matawi mengine: DODOMA, Arusha,Morogoro, Usagara,Dar es salaam na Geita Jumanne saa 11 HADI 12:30 Jioni- Maombi Alhamis saa 11 jioni Hadi 12:30 Jioni - Mafundisho Jumapili saa 3:00 asubuhi Hadi 6:30 Mchana - Ibada